OllaChuga Oc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 21,569
- 24,812
- Thread starter
- #41
aha ahsante kiongozi kumbe ni mtibwa shuga[emoji3][emoji3][emoji3]Mtiba shugwa[emoji777]
Mtibwa shuga [emoji818]
Heri ya kuzaliwa bwanamdogo
Ahsante sana mkuu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
aha ahsante kiongozi kumbe ni mtibwa shuga[emoji3][emoji3][emoji3]Mtiba shugwa[emoji777]
Mtibwa shuga [emoji818]
Heri ya kuzaliwa bwanamdogo
Ahsante Shunie..Happy birthday kwako
Thank you miss.Happy BD
Ahsante mkuu.
Ahsante miss.Hbd mkuu
Labda kama kuna miaka umeificha ila sio hiyo 25 uliyotaja hadharaniUnaeza kuta mimi kaka yako[emoji3][emoji3][emoji3]
But thanks for the wish ..Ur welcome!!
Hahaha kila lakheri mkuu, kwa hisani ya David Luiz.mkuu sisi kila msimu huwa hatupewi nafasi yeyote ila mwishoni tunafanya kweli. Msimu huu madogo wamejipanga ivyo tuna uwakika wa kubeba EPL kabisa[emoji3][emoji3][emoji3]
Also thank you for the wish..
Hahaha siwezi kabisa kufanya ivyo mkuu.Labda kama kuna miaka umeificha ila sio hiyo 25 uliyotaja hadharani
Ahsante sana mkuu.
Kibonde Si anajulikanaga ni Arsenal mkuu. Spurs keshachukua nafasi yakeHappy born day kibonde wetu wa london
Ahsante sana kiongozi..HPBD MKUU
Sasa unabisha[emoji23][emoji23]Ahahahah hii sasa kamba
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]dah ngoja nikubali tuSasa unabisha[emoji23][emoji23]