Happy Birthday To Me...!

Kabisa aisee ni damu yangu hiyo namjua uzuri kabisa. Muda wote yee ni mtu wa furaha tu yaani.

Am sooo glad to have u as my cousin Wallah. Nafarijika sana kuwa na binam kama wewe ALLAH anitunzie Wallah.
Thanks a lot binamu. πŸ™πŸ™πŸ™
 
Wahenga walishamaliza misemo yote ujue Shadeeya, kuna ule unaosema "chelewa chelewa utakuta mwana si wako"

Labda kama binam yako kakuwekea

Ila pia wahenga hao hao wanasema zimwi likujualo halikuli likakwisha lazma litabakiza sehemu kwa niaba ya.

Kwa hiyo wala asijali kuhusu hilo Nam.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…