Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dah ndo nakumbuka kesho ni birth day yangu hafu sinaga tabia za kusherehekea basidaiHappy birthday, how old are you now?
sure mkuuHahahahah kwa hiyo kukosa kuona uzi huu usingekumbuka mkuu...?
Unasahau mpaka siku yako ya kuzaliwa mkuu. Hahah.
nitashukuru sanaBasi sawa nitakukumbusha aisee...! Lol.
Hahahahah. Thanks a lot bro usjali aisee ila hakutakuwa na kilewo mkuu.
Salaam/Shalom.
Namshkuru sana MUNGU kwa kunipa afya na pumzi kuweza kufikia siku hii ya leo. Namuomba azidi kunipa afya njema na umri mref ulio na Baraka, Furaha na Amani tele ndani yake. AMIN.
Niwatakie siku njema nyote. Thanks.
View attachment 1187220View attachment 1187223
Heri ya kuzaliwa.Thanks a lot my loveliest one. Welcome dear.
Hahahaaa. Nimejikuta nacheka tu Binamu.Nikionaga comments zako namkumbukaga Shadeeya sjui kwa nini.
By the way thanks a lot kiongozi nafarijika sana uwepo wenu hapa. Am glad.
Hivi Ses haya maneno umeniiga au nimekuiga eti? 😀😀😀😀Alipo nipo nilipo yupo,tunazinguana kwenye Simba na Yanga tu hahahaaaa
Tumeigana mamii😃😃😃Hivi Ses haya maneno umeniiga au nimekuiga eti? 😀😀😀😀
Nipo nyuma yako nakazia