Happy Birthday To Me...!

Happy Birthday To Me...!

Hahahahah kwa hiyo kukosa kuona uzi huu usingekumbuka mkuu...?

Unasahau mpaka siku yako ya kuzaliwa mkuu. Hahah.
sure mkuu

Yaani ndo nakumbuka kesho tarehe 23

Sijui kama asubuhi ntakumbuka naweza nkasahau pia
 
Back
Top Bottom