Happy birthday to me

Happy birthday to me

Wilson Gamba

JF-Expert Member
Joined
Mar 1, 2013
Posts
808
Reaction score
878
Kwanza kabisa namshukuru MUNGU kwa kunipa pumzi ya uhai MPAKA leo hii. Namshukru sana.Wape pumziko la amani, ndugu, jamaa, marafiki na watanzania wenzetu ambao uliamua kuwaita kwako ili wapumzike. Katika siku hii naitumia kwa kuombea amani,upendo na ushirikiano ndani ya nchi yetu,pia JF idumu zaidi kwani ni sehemu pekee ya kujifunza mambo mapya.

Nawatakia heri ya siku ya kuzaliwa wale wote waliozalia Feb 4.
 
Happy bday mkuu, uwe na maisha marefu yenye furaha na amani🎂
 
Hongera sana Mkuu, Mungu akupe maisha marefu yenye kheri na baraka tele
 
Back
Top Bottom