Wilson Gamba
JF-Expert Member
- Mar 1, 2013
- 808
- 878
Kwanza kabisa namshukuru MUNGU kwa kunipa pumzi ya uhai MPAKA leo hii. Namshukru sana.Wape pumziko la amani, ndugu, jamaa, marafiki na watanzania wenzetu ambao uliamua kuwaita kwako ili wapumzike. Katika siku hii naitumia kwa kuombea amani,upendo na ushirikiano ndani ya nchi yetu,pia JF idumu zaidi kwani ni sehemu pekee ya kujifunza mambo mapya.
Nawatakia heri ya siku ya kuzaliwa wale wote waliozalia Feb 4.
Nawatakia heri ya siku ya kuzaliwa wale wote waliozalia Feb 4.