Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
Happy birthday to you beautiful[emoji171]Siku ya leo nimetimiza miaka kadhaa duniani,
Nawashukuru wazazi walionileta duniani
Japo wametangulia mbele za haki(RIP Dad&Mum)
Namshukuru MUNGU kwa uzima na afya,
Sifa na utukufu namrudishia katika kiti chake cha enzi.
Happy birthday to me.
Mungu akubarikie akulinde,akuinulie uso wake na kukupa furaha[emoji8]
Sent using Jamii Forums mobile app