Happy birthday to me

Uchochezi
Huyo ni mpinzani wangu maana kweli nilimtaka mahondaw ila akanizidi maarifa. Ila sasa naona kuwa ilikuwa ni halali maana siwezi kujiweka kwa mke wa mtu wakati ndani naacha mke. Afterall mwanamke akiwa na mtoto, huwa namheshimu maana unaweza kujikuta nawe unaweka katoto kako; hapo msala wa kuwatunza wote huwezi kuukwepa.
 
Siwezi kufurahia kitu kinachoniumiza. Sioni haja hiyo. Japo siwezi badili kitu.
 
Happy Birthday to you mrembo wa mtu Mungu akuzidishe na akulinde
 
Kwani mahondaw anasemaje
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…