Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 49,759
- 118,798
😀😀Mtani haya mambo ya kwenye mtandao saa nyingne yanataka moyo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😀😀Mtani haya mambo ya kwenye mtandao saa nyingne yanataka moyo
Huyo ni mpinzani wangu maana kweli nilimtaka mahondaw ila akanizidi maarifa. Ila sasa naona kuwa ilikuwa ni halali maana siwezi kujiweka kwa mke wa mtu wakati ndani naacha mke. Afterall mwanamke akiwa na mtoto, huwa namheshimu maana unaweza kujikuta nawe unaweka katoto kako; hapo msala wa kuwatunza wote huwezi kuukwepa.Uchochezi
Siwezi kufurahia kitu kinachoniumiza. Sioni haja hiyo. Japo siwezi badili kitu.Ufurahie usifurahie umri unazidi kuongezeka kwa kasi ya 5G aise..inabidi ukubaliane na hali halisi Chief hakuna namna..
Furahia siku yako ya kuzaliwa Chief 😊😊🧚♀️🧚♀️🧚♀️
Happy Birthday to you mrembo wa mtu Mungu akuzidishe na akulindeNi jambo la kumshukuru Mungu sana kwa nafasi hii ya upendeleo..Sifa,Shukrani na Utukufu ninakupa wewe uketie mahali Patakatifu..Amen
Happy birthday [emoji324][emoji323][emoji322][emoji320][emoji512] to me kwa mara nyingine tena.
Happy birthday y’all team Gemini [emoji1635][emoji1635][emoji3344][emoji3344]
Chakorii
Kwani mahondaw anasemajeHuyo ni mpinzani wangu maana kweli nilimtaka mahondaw ila akanizidi maarifa. Ila sasa naona kuwa ilikuwa ni halali maana siwezi kujiweka kwa mke wa mtu wakati ndani naacha mke. Afterall mwanamke akiwa na mtoto, huwa namheshimu maana unaweza kujikuta nawe unaweka katoto kako; hapo msala wa kuwatunza wote huwezi kuukwepa.
[emoji23][emoji23][emoji23]Sina aiseh humu ndani..yale mambo ya kupatana huku na kuja kuachana humu ndani..hapana kwakweli sipendi kuwa maarufu..
30+ Chief