Stroke JF-Expert Member Joined Feb 17, 2012 Posts 37,630 Reaction score 47,434 Jan 2, 2022 #1 Hayawi hayawi hatimaye yamekuwa. Ni mwaka mwingine tena wa Bwana. Sifa na utukufu ni kwa Mungu muumba wa mbingu na nchi.
Hayawi hayawi hatimaye yamekuwa. Ni mwaka mwingine tena wa Bwana. Sifa na utukufu ni kwa Mungu muumba wa mbingu na nchi.
mrangi JF-Expert Member Joined Feb 19, 2014 Posts 88,759 Reaction score 123,368 Jan 2, 2022 #2 Pamoja stroke Ova
Stroke JF-Expert Member Joined Feb 17, 2012 Posts 37,630 Reaction score 47,434 Jan 2, 2022 Thread starter #3 mrangi said: Pamoja stroke Ova Click to expand... Tupo pamoja mkuu.
T The Evil Genius JF-Expert Member Joined Mar 21, 2014 Posts 6,017 Reaction score 19,506 Jan 2, 2022 #4 Ingawa hua sitilii maanani kusherehekea mambo ya birthday ila Mkuu hongera, uishi miaka mingi zaidi kiongozi.
Ingawa hua sitilii maanani kusherehekea mambo ya birthday ila Mkuu hongera, uishi miaka mingi zaidi kiongozi.
Stroke JF-Expert Member Joined Feb 17, 2012 Posts 37,630 Reaction score 47,434 Jan 2, 2022 Thread starter #5 The Underboss said: Ingawa hua sitilii maanani kusherehekea mambo ya birthday ila Mkuu hongera, uishi miaka mingi zaidi kiongozi. Click to expand... Nashukuru kaka.
The Underboss said: Ingawa hua sitilii maanani kusherehekea mambo ya birthday ila Mkuu hongera, uishi miaka mingi zaidi kiongozi. Click to expand... Nashukuru kaka.
BILGERT JF-Expert Member Joined Feb 27, 2015 Posts 6,534 Reaction score 11,011 Jan 2, 2022 #6 Happy Birthday Kijana wa lumumba Buku 7,
Shadow7 JF-Expert Member Joined Sep 28, 2020 Posts 24,606 Reaction score 39,289 Jan 2, 2022 #7 Happy Birthday mkuu
Stroke JF-Expert Member Joined Feb 17, 2012 Posts 37,630 Reaction score 47,434 Jan 2, 2022 Thread starter #8 BILGERT said: Happy Birthday Kijana wa lumumba Buku 7, Click to expand... Asante kijana wa ufipa kwa mbowe pale kinondoni manyanya. Unakwenda mahakamani lakini kufuatilia kesi ya Mwenyekiti wetu??
BILGERT said: Happy Birthday Kijana wa lumumba Buku 7, Click to expand... Asante kijana wa ufipa kwa mbowe pale kinondoni manyanya. Unakwenda mahakamani lakini kufuatilia kesi ya Mwenyekiti wetu??
Stroke JF-Expert Member Joined Feb 17, 2012 Posts 37,630 Reaction score 47,434 Jan 2, 2022 Thread starter #9 Shadow7 said: Happy Birthday mkuu Click to expand... Asante kaka.
Mjuni Lwambo JF-Expert Member Joined Apr 25, 2012 Posts 11,133 Reaction score 12,361 Jan 2, 2022 #10 Halafu usiwe unaanzisha thread za kisengesenge tu mbwa wewe.. (sijui ndio nachanganyikiwa, sasa kwa nini natukana?)
Halafu usiwe unaanzisha thread za kisengesenge tu mbwa wewe.. (sijui ndio nachanganyikiwa, sasa kwa nini natukana?)
Stroke JF-Expert Member Joined Feb 17, 2012 Posts 37,630 Reaction score 47,434 Jan 2, 2022 Thread starter #11 Mjuni Lwambo said: Halafu usiwe unaanzisha thread za kisengesenge tu mbwa wewe.. (sijui ndio nachanganyikiwa, sasa kwa nini natukana?) Click to expand... Naomba nikutukane kesho asubuhi kabisa.
Mjuni Lwambo said: Halafu usiwe unaanzisha thread za kisengesenge tu mbwa wewe.. (sijui ndio nachanganyikiwa, sasa kwa nini natukana?) Click to expand... Naomba nikutukane kesho asubuhi kabisa.
Mjuni Lwambo JF-Expert Member Joined Apr 25, 2012 Posts 11,133 Reaction score 12,361 Jan 2, 2022 #12 Stroke said: Naomba nikutukane kesho asubuhi kabisa. Click to expand... Hahahaaaaa, karibu sana ndugu yangu.
Stroke said: Naomba nikutukane kesho asubuhi kabisa. Click to expand... Hahahaaaaa, karibu sana ndugu yangu.
Kasie Platinum Member Joined Dec 29, 2013 Posts 22,379 Reaction score 41,294 Jan 2, 2022 #13 Happy Born Day. How old are you??!
Stroke JF-Expert Member Joined Feb 17, 2012 Posts 37,630 Reaction score 47,434 Jan 2, 2022 Thread starter #14 Mjuni Lwambo said: Hahahaaaaa, karibu sana ndugu yangu. Click to expand... Hakuna maneno Tupo pamoja.
Mjuni Lwambo said: Hahahaaaaa, karibu sana ndugu yangu. Click to expand... Hakuna maneno Tupo pamoja.
Stroke JF-Expert Member Joined Feb 17, 2012 Posts 37,630 Reaction score 47,434 Jan 2, 2022 Thread starter #15 Kasie said: Happy Born Day. How old are you??! Click to expand... Nimeacha kihesabu muda kidogo. Nafurahia Neema za Mungu hata kwa kidogo ninachopata. Thank you for the wishes and God Bless you. Happy New Year Kasie!!
Kasie said: Happy Born Day. How old are you??! Click to expand... Nimeacha kihesabu muda kidogo. Nafurahia Neema za Mungu hata kwa kidogo ninachopata. Thank you for the wishes and God Bless you. Happy New Year Kasie!!
Kasie Platinum Member Joined Dec 29, 2013 Posts 22,379 Reaction score 41,294 Jan 2, 2022 #16 Stroke said: Nimeacha kihesabu muda kidogo. Nafurahia Neema za Mungu hata kwa kidogo ninachopata. Thank you for the wishes and God Bless you. Happy New Year Kasie!! Click to expand... Okay, heri na kwako pia...
Stroke said: Nimeacha kihesabu muda kidogo. Nafurahia Neema za Mungu hata kwa kidogo ninachopata. Thank you for the wishes and God Bless you. Happy New Year Kasie!! Click to expand... Okay, heri na kwako pia...
ledada JF-Expert Member Joined Oct 4, 2015 Posts 16,993 Reaction score 65,237 Jan 2, 2022 #17 Happy Birthday Mkuu
Stroke JF-Expert Member Joined Feb 17, 2012 Posts 37,630 Reaction score 47,434 Jan 2, 2022 Thread starter #18 ledada said: Happy Birthday Mkuu Click to expand... Asante mkuu !
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 135,167 Reaction score 160,806 Jan 2, 2022 #19 Kila la kheri kwenye siku yako ya kuzaliwa...
Stroke JF-Expert Member Joined Feb 17, 2012 Posts 37,630 Reaction score 47,434 Jan 2, 2022 Thread starter #20 Kasie said: Okay, heri na kwako pia... Click to expand... Asante sana mkuu. Naomba nilete posa kwenu.
Kasie said: Okay, heri na kwako pia... Click to expand... Asante sana mkuu. Naomba nilete posa kwenu.