GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Nimezipokea, ila Popoma Shangazi yako na Mjomba wako.
Asante na Amen Mkuu.Hongera kwa kuongeza mwaka katika miaka yako ya kuishi.
Shukran Mkuu.Happy birthday to you..
Nimezipokea, ila Popoma Shangazi yako na Mjomba wako.
Kwahiyo kwa mfano 'Babaako' angezaliwa tarehe hiyo 1st April ( Fools Day ) nae ungekuwa umeshajiandaa Kumdhihaki kama ambavyo ulitamani Kunidhihaki Mimi kama ningezaliwa tarehe hiyo?Una bahati yani zilikuwa zimebakia siku 4 almanusra uzaliwe kwenye ile sikukuu yenu na wenzako
😬huu uchokozi hakika😂Heri ya siku ya kuzaliwa kwa chizi mkuu wa jamiiforums miaka mingi uishi ili tuendelee kucheka