Happy Birthday to me

Happy Birthday to me

Hbd ( ingawa bado tupo kwenye maombolezo ya chuma
Asante Mkuu ila Mimi simuombolezi tu Hayati Rais Dkt. John Magufuli bali kila Uchao ninawaomboleza pia akina Hayati Mwalimu Nyerere, Abeid Karume, Benjamin Mkapa, Samora Machael, Kwame Nkurumah, Patrice Emelly Lumumba, Nelson Madiba Mandela, Fidel Armando Castro, David Ben Gurion, Yurin Netanyahu, Walter Sisulu na Yitzhak Rabin.
 
'Mechi moja inaangaliwa na zaidi ya watu milioni 500, raundi ya kwanza kwenye champions league kacheza mechi nne yaani milioni mia tano mara mechi nne ni sawa na watu bilioni mbili. Kombe la shirikisho kacheza mechi sita kwahiyo ukichukua milioni mia tano mara mechi sita ni sawa na watu bilioni tatu ukijumlisha hapo unapata bilioni tano, kwahiyo watu bilioni tano wameiona VISIT TANZANIA. CCM ILAANIWE
Dk. Ndumbaro nae alitudanganya sana.
 
Wewe ni kondoo. ♈
Yeah I'm a Ram Rider Chief na Nyota yangu ya Kondoo / Punda ndiyo Nyota Kiongozi na inasema mengi ambayo Kiasili kwa 99.9% nipo nayo na ndiyo Uhalisia wangu.

Nafurahi pia na ni bahati kuwa nyota moja na Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere na Watu Maarufu wengine duniani.

GENTAMYCINE nilipokuja na hii Signature yangu pendwa ya "Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer" Watu hawakunielewa kabisa.

Lakini ukiwa Mdadisi wa hizi Nyota na Unujumu wake utagundua ya kuwa Watu wote tuliozaliwa katika Nyota ya Kondoo / Punda ( Ram Riders ) Kiasili ndiyo tulivyo na tuna 'Natural Charm' ya hali ya Juu japo nakiri na wala sifichi kuwa huwa kuna muda ( nyakati ) fulani huwa tuna na 'Vielementi' vya Upuuzi ( Upopoma ) au hata kuonekana ni kama Wendawazimu fulani vile.
 
FORTALEZA kwanini umefuta haraka Post yako Uliyonidhihaki na Kunitukana? au kama Mods ndiyo Wameifuta naomba wairejeshe ili Furaha ya huyu Member izidi na Chuki zake Kwangu ziendelee Kumfariji na hata Kumuongezea Kipato.
 
Asante Mwenyezi Mungu, Asante Wazazi wangu, Asante Walimu, Wakufunzi na Wahadhiri wangu, Asante wale Wote mlionilea na Kunijenga Kimaadili na Kinidhamu, Asante wote ambao mlikuwa na mnaendelea kuwa Wema Kwangu kwa hali na mali, Asante Ndugu, Jamaa na Marafiki pamoja na wale Maadui zangu tukuka ndani na nje ya JamiiForums.

27th March ni Siku Muhimu Kwangu.
Happy birthday Genta
 
Back
Top Bottom