Happy Birthday to me

Hbd ( ingawa bado tupo kwenye maombolezo ya chuma
Asante Mkuu ila Mimi simuombolezi tu Hayati Rais Dkt. John Magufuli bali kila Uchao ninawaomboleza pia akina Hayati Mwalimu Nyerere, Abeid Karume, Benjamin Mkapa, Samora Machael, Kwame Nkurumah, Patrice Emelly Lumumba, Nelson Madiba Mandela, Fidel Armando Castro, David Ben Gurion, Yurin Netanyahu, Walter Sisulu na Yitzhak Rabin.
 
Una bahati yani zilikuwa zimebakia siku 4 almanusra uzaliwe kwenye ile sikukuu yenu na wenzako
Wakorofi sana huku [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Dk. Ndumbaro nae alitudanganya sana.
 
Wewe ni kondoo. ♈
Yeah I'm a Ram Rider Chief na Nyota yangu ya Kondoo / Punda ndiyo Nyota Kiongozi na inasema mengi ambayo Kiasili kwa 99.9% nipo nayo na ndiyo Uhalisia wangu.

Nafurahi pia na ni bahati kuwa nyota moja na Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere na Watu Maarufu wengine duniani.

GENTAMYCINE nilipokuja na hii Signature yangu pendwa ya "Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer" Watu hawakunielewa kabisa.

Lakini ukiwa Mdadisi wa hizi Nyota na Unujumu wake utagundua ya kuwa Watu wote tuliozaliwa katika Nyota ya Kondoo / Punda ( Ram Riders ) Kiasili ndiyo tulivyo na tuna 'Natural Charm' ya hali ya Juu japo nakiri na wala sifichi kuwa huwa kuna muda ( nyakati ) fulani huwa tuna na 'Vielementi' vya Upuuzi ( Upopoma ) au hata kuonekana ni kama Wendawazimu fulani vile.
 
FORTALEZA kwanini umefuta haraka Post yako Uliyonidhihaki na Kunitukana? au kama Mods ndiyo Wameifuta naomba wairejeshe ili Furaha ya huyu Member izidi na Chuki zake Kwangu ziendelee Kumfariji na hata Kumuongezea Kipato.
 
Happy birthday Genta
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…