Happy Birthday to me

Happy Birthday to me

Fohadi unaona jinsi unavyonitafutia Matatizo? Tayari Wapumbavu na Waswahili wenye Chuki na Wivu wa Umaarufu wangu hapa JamiiForums wameanza Kuhisi kuwa hii ID yako ni Mimi GENTAMYCINE na kwamba nimejianzishia Mwenyewe tu huu Uzi ili.kutafuta Sifa zaidi.

Tayari kuna Uzi wangu wa Kujitakia Happy Birthday Mwenyewe niliuanzisha Juzi Saa 6 na dakika 1 Usiku na bado upo nashangaa bado Watu wananihusisha Mimi na hii ID yako.

Yaani kuna Watu hapa JamiiForums wananichukia utadhani labda nimekula Chao au nina Deni nao au nimelala na Mama zao Wazazi hivyo nimewatelekeza au labda Mimi ni Kikwazo cha Kiuchumi kwa Maisha yao au labda Shida zao na Umasikini wao mkubwa ( ambao hata Mimi GENTAMYCINE ninao ) unasababishwa nami.

Na kinachonisikitisha zaidi sasa mpaka Nawadharau mno Haters na Critics wangu wengi hapa JamiiForums ni kwamba Wao ndiyo kila Uchao wanatangaza Kunichukia, Kutonipenda na hata Kuniombea nipigwe BAN tena ikiwezekana ile Permanent Ban lakini ndiyo hao hao 24/7 wakiingia hapa JamiiForums ni lazima wanisome nimeandika nini, nimechangia nini na wengine hadi Wananifolo.

Mtu haumpendi, ila Kutwa unamsoma.

Cc: Leak
Sasa kwanini asi-reply huko bwana Popoma?
 
Kweli ndugu yangu nimeona na nimestaajabu sana kuona wanakuchafua. Sema ndio hivyo huenda wamekalili

Hata kipindi kile nimeandika barua ya wazi kukuhusu. Walihisi kama ni wewe umejiandikia. Ila kumbe ni mimi mwenyewe niliamua kuwa muwazi na kukuandikia ujumbe ule.

Sisi acha tuwaache waamini wanavyoamini ila ni ukweli usiofichika kuwa wewe ni miongoni mwa wale members maarufu na wanaokubalika na watu humu ndani.

Kuna watu wanachukia misimamo yako na jinsi unavyojenga hoja na kuwapopoa ila wanafurahia hoja zako na wanapenda kukuona humu ndani kila siku.

Mkuu usiwajali. Ila nikuombe tu wakiingia anga zako wapopoe bila kusita 😁😁. Huwezi kutenganisha upopoaji na jina lako. Mtu akiiona ID yako tu cha kwanza lazima asome comment yako kwa makini ili kujua style ya upopoaji uliyokuja nayo siku hiyo.

Humu ndani kuna baadhi ya watu wamejijengea identity zao na umaarufu wao...Maswala ya ulozi na uganga tunamuachia MSHANA JR....Maswala ya siasa tunamuachia JOHNTHEBAPTIST....Maswala ya Udaku ilikuwa Identity ya WARUMI (R.I.P).....wewe identity yako ni kusimamia unachokiamini na kupopoa mapopoma wote...

Kiufupi mkuu wanakuchukia wakikuona ila wanakumiss usipoonekana....huo ndio ukweli.

Sema mkuu wangu kidogo jaribu kupunguza kuwapopoa wale wanaokuja na hoja kupinga hoja zako. Maana yake kuna muda hutaki kabisa kupingwa 😄😄😄.

Basi mkuu....usinipopoe
 
Juzi ulipost birthday yako ukaona imebuma leo umekuja kujitekenya mwenyewe.

Utoto raha Sana
Hii post ni Yangu...FOHADI....haina uhusiano wowote na Gentamycine na haijawahi kuwa ya Genta.

Tumia akili sometimes mkuu...Sasa mfano hata birthday yake ikitrend mwaka mzima anafaidika na nini haimdi ahangaike kuipromote?

Usikalili maisha mkuu
 
Yet another damn Fool. Hivi Mtu akisema leo ni Birthday yake inamaanisha kuwa anataka Sifa, Umaarufu au Uzi wake ndiyo Uchangiwe sana?

Hivi GENTAMYCINE ninahitaji Kiki hapa Jamiiforums wakati hata Marais wako, CDF Jenerali Mabeyo, 75% ya TISS Staff, Wasomi ( Wanataaluma ), Wanamichezo na 85% ya Jamiiforums Members ( Mpumbavu na Mswahili Wewe ukiwemo ) kila Uchao wakiingia hapa ni lazima tu watanisoma na Kunifuatilia?

Umaarufu wangu una Baraka za Mungu.
 
Kuna Watu hapa Jamiiforums huu Umaarufu wangu na hii 'Natural Charm' yangu inawatesa, inawaumiza na huenda hata wakawa wanatamani Nife kabisa baada ya kuona Ombi lao la kutaka Uongozi wa Jamiiforums unipige Life BAN kutofanikiwa.

Cc: LIKUD
 
Eti game changer
 
🤣
Yet another damn Fool. Hivi Mtu akisema leo ni Birthday yake inamaanisha kuwa anataka Sifa, Umaarufu au Uzi wake ndiyo Uchangiwe sana?

Hivi GENTAMYCINE ninahitaji Kiki hapa Jamiiforums wakati hata Marais wako, CDF Jenerali Mabeyo, 75% ya TISS Staff, Wasomi ( Wanataaluma ), Wanamichezo na 85% ya Jamiiforums Members ( Mpumbavu na Mswahili Wewe ukiwemo ) kila Uchao wakiingia hapa ni lazima tu watanisoma na Kunifuatilia?

Umaarufu wangu una Baraka za Mungu.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Eti game changer
'Signature' yangu pendwa ya 'Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer' naona inakukera na Kukunyima Amani pia. Vipi nikupe Wewe uitumie halafu na Mimi nitabuni nyingine ambayo nayo najua kwa Talanta na Mvuto niliopewa na Mwenyezi Mungu nayo pia itakuwa maarufu tena kuliko hata hii?

Mimi ndiyo GENTAMYCINE sina mfanano.
 
🤣

🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Nafurahi mno muda Wote ukiwa hapa Jamiiforums unavyohangaika nami huku ukidhani unanishusha Umaarufu wangu wakati Ukweli ni kwamba kiuhalisia ndiyo unaniongezea Umaarufu kiasi kwamba 24/7 tu idadi ya Followers wangu inaongezeka.

Ahsante Mwenyezi Mungu kwa Baraka.
 
Dah kumbe nakuongezea umaarufu? Sasa tatizo liko wapi mkuu wakati umaarufu ndio unao utafuta?

U need to salute me muraaa
 
Back
Top Bottom