Happy Birthday to me

Happy Birthday to me

Dah kumbe nakuongezea umaarufu? Sasa tatizo liko wapi mkuu wakati umaarufu ndio unao utafuta?

U need to salute me muraaa
I can't dare to Salute a Certified Fool like you.
 
'Signature' yangu pendwa ya 'Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer' naona inakukera na Kukunyima Amani pia. Vipi nikupe Wewe uitumie halafu na Mimi nitabuni nyingine ambayo nayo najua kwa Talanta na Mvuto niliopewa na Mwenyezi Mungu nayo pia itakuwa maarufu tena kuliko hata hii?

Mimi ndiyo GENTAMYCINE sina mfanano.
" Mimi Gentamycine Sina mfanano"
Kuna siku utajisahau utataja Jina lako halisi muraa
 
Kweli ndugu yangu nimeona na nimestaajabu sana kuona wanakuchafua. Sema ndio hivyo huenda wamekalili

Hata kipindi kile nimeandika barua ya wazi kukuhusu. Walihisi kama ni wewe umejiandikia. Ila kumbe ni mimi mwenyewe niliamua kuwa muwazi na kukuandikia ujumbe ule.

Sisi acha tuwaache waamini wanavyoamini ila ni ukweli usiofichika kuwa wewe ni miongoni mwa wale members maarufu na wanaokubalika na watu humu ndani.

Kuna watu wanachukia misimamo yako na jinsi unavyojenga hoja na kuwapopoa ila wanafurahia hoja zako na wanapenda kukuona humu ndani kila siku.

Mkuu usiwajali. Ila nikuombe tu wakiingia anga zako wapopoe bila kusita [emoji16][emoji16]. Huwezi kutenganisha upopoaji na jina lako. Mtu akiiona ID yako tu cha kwanza lazima asome comment yako kwa makini ili kujua style ya upopoaji uliyokuja nayo siku hiyo.

Humu ndani kuna baadhi ya watu wamejijengea identity zao na umaarufu wao...Maswala ya ulozi na uganga tunamuachia MSHANA JR....Maswala ya siasa tunamuachia JOHNTHEBAPTIST....Maswala ya Udaku ilikuwa Identity ya WARUMI (R.I.P).....wewe identity yako ni kusimamia unachokiamini na kupopoa mapopoma wote...

Kiufupi mkuu wanakuchukia wakikuona ila wanakumiss usipoonekana....huo ndio ukweli.

Sema mkuu wangu kidogo jaribu kupunguza kuwapopoa wale wanaokuja na hoja kupinga hoja zako. Maana yake kuna muda hutaki kabisa kupingwa [emoji1][emoji1][emoji1].

Basi mkuu....usinipopoe

Dah maisha haya bwana
 
" Mimi Gentamycine Sina mfanano"
Kuna siku utajisahau utataja Jina lako halisi muraa
Nikikuambia na Kukuita Wewe ni Mpumbavu usiwe unakataa au Kubisha pia sawa?

Mara kwa mara hapa JamiiForums nimeshataja Majina yangu halisi ambapo ninaitwa Kalemera Rwigyema Mazimpaka Kadogoo. Kazi Kwako.
 
Yet another damn Fool. Hivi Mtu akisema leo ni Birthday yake inamaanisha kuwa anataka Sifa, Umaarufu au Uzi wake ndiyo Uchangiwe sana?

Hivi GENTAMYCINE ninahitaji Kiki hapa Jamiiforums wakati hata Marais wako, CDF Jenerali Mabeyo, 75% ya TISS Staff, Wasomi ( Wanataaluma ), Wanamichezo na 85% ya Jamiiforums Members ( Mpumbavu na Mswahili Wewe ukiwemo ) kila Uchao wakiingia hapa ni lazima tu watanisoma na Kunifuatilia?

Umaarufu wangu una Baraka za Mungu.
Kumbe kuna wapumbavu wa aina hii mkuu?[emoji51][emoji51]
 
Fohadi unaona jinsi unavyonitafutia Matatizo? Tayari Wapumbavu na Waswahili wenye Chuki na Wivu wa Umaarufu wangu hapa JamiiForums wameanza Kuhisi kuwa hii ID yako ni Mimi GENTAMYCINE na kwamba nimejianzishia Mwenyewe tu huu Uzi ili.kutafuta Sifa zaidi.

Tayari kuna Uzi wangu wa Kujitakia Happy Birthday Mwenyewe niliuanzisha Juzi Saa 6 na dakika 1 Usiku na bado upo nashangaa bado Watu wananihusisha Mimi na hii ID yako.

Yaani kuna Watu hapa JamiiForums wananichukia utadhani labda nimekula Chao au nina Deni nao au nimelala na Mama zao Wazazi hivyo nimewatelekeza au labda Mimi ni Kikwazo cha Kiuchumi kwa Maisha yao au labda Shida zao na Umasikini wao mkubwa ( ambao hata Mimi GENTAMYCINE ninao ) unasababishwa nami.

Na kinachonisikitisha zaidi sasa mpaka Nawadharau mno Haters na Critics wangu wengi hapa JamiiForums ni kwamba Wao ndiyo kila Uchao wanatangaza Kunichukia, Kutonipenda na hata Kuniombea nipigwe BAN tena ikiwezekana ile Permanent Ban lakini ndiyo hao hao 24/7 wakiingia hapa JamiiForums ni lazima wanisome nimeandika nini, nimechangia nini na wengine hadi Wananifolo.

Mtu haumpendi, ila Kutwa unamsoma.

Cc: Leak
Pole mkwe wangu
 
Nikikuambia na Kukuita Wewe ni Mpumbavu usiwe unakataa au Kubisha pia sawa?

Mara kwa mara hapa JamiiForums nimeshataja Majina yangu halisi ambapo ninaitwa Kalemera Rwigyema Mazimpaka Kadogoo. Kazi Kwako.
🤣🤣🤣🤣

Hapa Jf Hakuna bushman mwenye vituko kama wewe.

.# Mazimpaka my foot.

Jina la kinyarwanda wewe msimbiti umelitolea wapi.

# mkataa chake mtumwa

Bora hata ungesema unaitwa MAGESA MUGGETTA MAGINGA MWIKWABE MAINGU
 
Kama najua 'Kukubaioloji' hadi unamsahau 'Basha' wako nitaacha Kuijua Lugha nyepesi hiyo ya Kiingereza?
🤣🤣🤣🤣🤣 bushman katika ubora wake.

Genny una vituko sana . Genny mtamu my sin a.k.a gei mtamu my sin

Chuo chenyewe umesoma " MUGETTA EDUCATION CENTER " pale Bunda mjini English utaijulia wapi wewe bushman
 
Back
Top Bottom