Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 25,258
- 48,589
Acha unafikiAisee 36 Hbd bro, hujaoa kwasababu ya hali au kutopata mwenza??
tamuuuuu ungekuwa Arusha ningekununulia keki
We ni Mmeru?tamuuuuu ungekuwa Arusha ningekununulia keki
Hapana Masai wa MonduliWe ni Mmeru?
Aaah nilifikiri ni Mmeru ningekudharau sanaHapana Masai wa Monduli
Unafiki uko wapi hapo!?? Wewe ndo umeleta uzi hapa!!Acha unafiki
😄😄😄 Mtu kajielezea unaleta figisu figisu hapaUnafiki uko wapi hapo!?? Wewe ndo umeleta uzi hapa!!
Kaa mbali dogo
Hongera kiongozi, ila anzisha familia Sasa, ukapera kwa umri wako haufai.Asante Mungu kwa afya njema isiyo na mashaka.Ninawashukuru pia wazazi wangu kwa kila kitu na kila hatua ya malezi yao kwangu tangu nimezaliwa.
Leo 22.01.2023 natimiza miaka 36.Ni jambo jema kwangu,though mapambano ya maisha bado yanaendelea with kwa kuonesha upendo penye chuki,amani penye uhasama.Sijafanikiwa na kutimiza ndoto za kimaisha ila naamini zitatimia kwani naamini ktk processes.
Sijaoa bado,changamoto ni ZAMA hizi imekuwa ni jambo gumu kupata mwenza kwetu sie vijana.Na hii ni kwa wote ME na KE. Namtegemea Mungu,yeye anajua hatma yangu.
As am growing up,najiona nakomaa akili na kuwa very tolerant katika kila jambo na hatua ninayopita.
Tuishi kwa upendo,Mungu awabariki marafiki wa Jamiiforums.
Kwanini??Aaah nilifikiri ni Mmeru ningekudharau sana
Hapana bwana mambo tu ya hapa na pale sijui ndio uzeeAsante sn.Umekua adimu nowadays, au martenity?
Sijajua Pole so why you are Single ??Hahahaaaaa jamani asante my dada.Na kwa taarifa yako mimi nipo Arusha long time sanaaaaa.Kijenge,Philips,Mianzini SanawariKwa mrombo,Sakina mpaka Ngaramtoni mitaa hiyo yangu! Tengeru,Leganga mpaka Kikatiti ndo usisemeee