Lovelovie
JF-Expert Member
- Oct 2, 2021
- 12,582
- 26,053
Mkubwa mzima unaitwa tamuuu.Asante Mungu kwa afya njema isiyo na mashaka.Ninawashukuru pia wazazi wangu kwa kila kitu na kila hatua ya malezi yao kwangu tangu nimezaliwa.
Leo 22.01.2023 natimiza miaka 36.Ni jambo jema kwangu,though mapambano ya maisha bado yanaendelea with kwa kuonesha upendo penye chuki,amani penye uhasama.Sijafanikiwa na kutimiza ndoto za kimaisha ila naamini zitatimia kwani naamini ktk processes.
Sijaoa bado,changamoto ni ZAMA hizi imekuwa ni jambo gumu kupata mwenza kwetu sie vijana.Na hii ni kwa wote ME na KE. Namtegemea Mungu,yeye anajua hatma yangu.
As am growing up,najiona nakomaa akili na kuwa very tolerant katika kila jambo na hatua ninayopita.
Tuishi kwa upendo,Mungu awabariki marafiki wa Jamiiforums.
Haya Happy birthday 😊😊