Happy birthday to me

Happy birthday to me

Wakati nakimbia kukuletea Maziwa yako nilijikwaa njiani na kumwaga maziwa yote 🤗

Hata hivyo nimesikia nyie Wapare bora mkose maziwa lakini Msikose Makande

Babu yupo njiani kukuletea Makande yako ili kufurahia Siku yako ya kuzaliwa 😜

Heri ya Siku ya Kuzaliwa Mjukuu
Acha kuzuga babu ilete hiyo zawadi tafadhali

Hivi kumbe mimi ni mpare na sijui!!maskini mie
 
Acha kuzuga babu ilete hiyo zawadi tafadhali

Hivi kumbe mimi ni mpare na sijui!!maskini mie
Zawadi yako ya Makande ndiyo ipo Jikoni, Bibi yako ameziunga Nazi.

Nategemea utazipenda 🤗

Mjukuu gani tangu nikuombe uniletee Kiko imepita Miezi 6 kama sio Upare kwa Kuzaliwa itakuwa Upare wa Kurithi 😜🏃🏃
 
Back
Top Bottom