Happy birthday to me

Happy birthday to me

Leo ni kumbukizi ya kuzaliwa Kwa chakorii..

Karibu tusheherekee pamoja na Gemini.
Kama na wewe unasheherekea birthday yako leo tafadhali mguse Mungu Kwa namna ya kipekee kabisa.Tembelea watoto yatima watu waishio katika mazingira magumu,,kula nao mfurahi.

Mungu akubariki utoapo na upokeapo.

Zawadi zinakaribishwa jaman😉

💃💃
Hbd Chakorii
Gemini + Aquarius is a perfect combo
birthday-cake2-1024x683.jpg
 
HBD to you Chakorii karibu geto utembele wanaoishi mazingira magumu 😀

~Kama uko single karibu am Libra...
 
Back
Top Bottom