Happy birthday to me πŸŽ‚πŸŽ‰

Ifike wakati tuzungumze ukweli ,

hasa kwenye masuala kama haya ambayo yanagusa wananchi moja kwa moja ,
bila kujali utofauti uliopo kati yetu iwe kidini ,kikabila na kiitikadi.
Kwanza kabisa lazima kila mtu aelewe kwamba nnachotaka kuzungumza hapa kitu ambacho wengi hawakijui,

kiasi kwamba mimi mwenyewe sijui nataka kuongea nini.

Asanteni ngoja nikavute ingineπŸ€’πŸ€’πŸ€’πŸ€’
 
πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€
 
Kwakweli ukavute ingine kwanza halafu ndo uje utuambieπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Kwani asiposherehekea hiyo birthday ndiyo Mwaka 1 zaidi utaongezeka?

Yesu mwenyewe alisherehekea pamoja na kujua hana muda mrefu atauwawa

Let's celebrate 🍾 πŸ₯‚
Hivi kwanini hua mnashindwa kusoma comment ya mtu na ukaielewa kwanza kabla ya kumquote?

Huoni kua hiyo comment yangu uliyoiquote ina question mark? hilo ni swali nimemuuliza niliyemquote.
 
πŸ˜ŠπŸ€—
Kabla sijatoka huku Kijijini naomba nijue kabisa kama kuna kiingilio kwenye hiyo birthday Mjukuu?

Maana watu wa Daslama sina hamu nao tangu waniuzie kiwanja Coco Beach maji yalipokupwa.

Kesho yake narudi nakuta kiwanja chote ni bahari πŸ™†β€β™‚οΈ
 
Usijali babu... hakuna kiingilio na walio mbali tunawatumia nauli kabisaπŸ˜ŠπŸ€—
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…