Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji8] Mungu akulindeAsante [emoji4][emoji847],, kila mtu atazeeka asipokufa akiwa kijana[emoji2][emoji2]
Japo Mjomba nae ni Mama, ila sijaona shukrani zilizoelekezwa kwa mjomba ๐ฅ๐ฅ๐ฅHello everyone ๐โบ
Kwanza kabisa namshukuru Mungu kwa kuendelea kuniweka hadi leo ambapo nimeongeza mwaka mwingine tena, yote ni kwaajili ya nguvu na huruma zake, maana haikuwa rahisi ๐๐ค
Nitakuwa mchoyo wa fadhila nisipowapongeza wazazi wangu kwajili ya siku hii maana bila wao kupendana, na kujaliana hisia za kila mmoja, walikula wakashiba wakaenjoy vya kutosha, wakafurahi hadi akapatikana mtoto mzurii, mrembo na mwenye kila sifa za kuwa msichana. I used to keep that happiness of you my parents ( I love you ๐๐)..
Pia nitoe pongezi kwa ninyi wanaJf wote ambao hamjawahi kunifanya nijute kuwepo humu๐๐...mmekuwa ni watu wakunifanya niwe na furaha muda wote, ningekua na uwezo ningefurahia na nyie wote kwenye hii siku yangu special. Nawapenda sana.
Natamani nijaze hata page kumi maana nina mengi ya kuzungumza, ila acha niishie hapa
HAPPY BIRTHDAY TO ME ๐๐ฅณ๐ฅณ๐๐๐ View attachment 2699335
Majanga tu ya hapa na pale, na wewe hata kunijulia hali ukashindwa ๐ฅ๐ฅ.uncle ulikua wapi jamani๐ค๐ค...nimekumis๐ฅน๐ฅน
Nimekutafuta sana jamani๐ฅ,, karibu mwezi mzima huonekani hadi nlikua wasiwasi๐โโ๏ธ.....ila kama uko salama vizuri inapendezaMajanga tu ya hapa na pale, na wewe hata kunijulia hali ukashindwa ๐ฅ๐ฅ.
But niko well n good mpwa, mekumiss pia.
Niko live sasa. Mungu ni mwema, uzima na afya vipo. ๐๐Nimekutafuta sana jamani๐ฅ,, karibu mwezi mzima huonekani hadi nlikua wasiwasi๐โโ๏ธ.....ila kama uko salama vizuri inapendeza
Although nimechelewa kukuwish ila haijalishi.Hello everyone ๐โบ
Kwanza kabisa namshukuru Mungu kwa kuendelea kuniweka hadi leo ambapo nimeongeza mwaka mwingine tena, yote ni kwaajili ya nguvu na huruma zake, maana haikuwa rahisi ๐๐ค
Nitakuwa mchoyo wa fadhila nisipowapongeza wazazi wangu kwajili ya siku hii maana bila wao kupendana, na kujaliana hisia za kila mmoja, walikula wakashiba wakaenjoy vya kutosha, wakafurahi hadi akapatikana mtoto mzurii, mrembo na mwenye kila sifa za kuwa msichana. I used to keep that happiness of you my parents ( I love you ๐๐)..
Pia nitoe pongezi kwa ninyi wanaJf wote ambao hamjawahi kunifanya nijute kuwepo humu๐๐...mmekuwa ni watu wakunifanya niwe na furaha muda wote, ningekua na uwezo ningefurahia na nyie wote kwenye hii siku yangu special. Nawapenda sana.
Natamani nijaze hata page kumi maana nina mengi ya kuzungumza, ila acha niishie hapa
HAPPY BIRTHDAY TO ME ๐๐ฅณ๐ฅณ๐๐๐ View attachment 2699335
aisee,my Queen.
Nini tena mtaalamu?aisee,
Kumbe lee ni queen wako aisee na husemiNini tena mtaalamu?
Kumbe lee ni queen wako aisee na husemi
Happy birthdayHello everyone [emoji4][emoji5]
Kwanza kabisa namshukuru Mungu kwa kuendelea kuniweka hadi leo ambapo nimeongeza mwaka mwingine tena, yote ni kwaajili ya nguvu na huruma zake, maana haikuwa rahisi [emoji4][emoji847]
Nitakuwa mchoyo wa fadhila nisipowapongeza wazazi wangu kwajili ya siku hii maana bila wao kupendana, na kujaliana hisia za kila mmoja, walikula wakashiba wakaenjoy vya kutosha, wakafurahi hadi akapatikana mtoto mzurii, mrembo na mwenye kila sifa za kuwa msichana. I used to keep that happiness of you my parents ( I love you [emoji7][emoji8])..
Pia nitoe pongezi kwa ninyi wanaJf wote ambao hamjawahi kunifanya nijute kuwepo humu[emoji1][emoji1]...mmekuwa ni watu wakunifanya niwe na furaha muda wote, ningekua na uwezo ningefurahia na nyie wote kwenye hii siku yangu special. Nawapenda sana.
Natamani nijaze hata page kumi maana nina mengi ya kuzungumza, ila acha niishie hapa
HAPPY BIRTHDAY TO ME [emoji322][emoji3060][emoji3060][emoji1][emoji512][emoji324] View attachment 2699335