Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nyanda za juu kusini
Haya mie nakupendaga sana yaani acha tu nikaona wakwanza nikasahau kuituma huu wimbo pole mwaya happy birthday msweety wanguThank you ciccy Unique Flower ,, hope unajua vile nakupendaga๐๐๐ฅฐ๐
Haya asanteThank you ๐๐,, ukuje tule keki basi ๐๐๐ค
awapi unanidanganya bana!Pole mkuu sio mimi huyo usipate shida bure
Shukrani na wewe piA team July ,nyota ya LEO(SIMBA)Wow ๐๐ค,, happy birthday king July ๐ฅณ๐ฅณ.ishi sana
Una bahati kweli, ilibaki kidogo ninywee chai hapa ila ngoja nikuwekee [emoji4],, huonekani jirani [emoji18][emoji26]
Happy birthday unazd kuzeekaHello everyone [emoji4][emoji5]
Kwanza kabisa namshukuru Mungu kwa kuendelea kuniweka hadi leo ambapo nimeongeza mwaka mwingine tena, yote ni kwaajili ya nguvu na huruma zake, maana haikuwa rahisi [emoji4][emoji847]
Nitakuwa mchoyo wa fadhila nisipowapongeza wazazi wangu kwajili ya siku hii maana bila wao kupendana, na kujaliana hisia za kila mmoja, walikula wakashiba wakaenjoy vya kutosha, wakafurahi hadi akapatikana mtoto mzurii, mrembo na mwenye kila sifa za kuwa msichana. I used to keep that happiness of you my parents ( I love you [emoji7][emoji8])..
Pia nitoe pongezi kwa ninyi wanaJf wote ambao hamjawahi kunifanya nijute kuwepo humu[emoji1][emoji1]...mmekuwa ni watu wakunifanya niwe na furaha muda wote, ningekua na uwezo ningefurahia na nyie wote kwenye hii siku yangu special. Nawapenda sana.
Natamani nijaze hata page kumi maana nina mengi ya kuzungumza, ila acha niishie hapa
HAPPY BIRTHDAY TO ME [emoji322][emoji3060][emoji3060][emoji1][emoji512][emoji324] View attachment 2699335