Happy birthday to me ๐ŸŽ‚๐ŸŽ‰

Happy birthday to me ๐ŸŽ‚๐ŸŽ‰

Happy bday jirani [emoji3060][emoji3060]
Sikuwepo jirani lkn cake yangu najua umenitunzia [emoji12]
 
Happy bday jirani [emoji3060][emoji3060]
Sikuwepo jirani lkn cake yangu najua umenitunzia [emoji12]
Una bahati kweli, ilibaki kidogo ninywee chai hapa ila ngoja nikuwekee ๐Ÿ˜Š,, huonekani jirani ๐Ÿ˜Œ๐Ÿ˜ฅ
 
Una bahati kweli, ilibaki kidogo ninywee chai hapa ila ngoja nikuwekee [emoji4],, huonekani jirani [emoji18][emoji26]

Puliiiiz!! Jirani shikilia moyo cake yangu niachie [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Nilikua kuvuna jirani [emoji12]
 
Hello everyone [emoji4][emoji5]

Kwanza kabisa namshukuru Mungu kwa kuendelea kuniweka hadi leo ambapo nimeongeza mwaka mwingine tena, yote ni kwaajili ya nguvu na huruma zake, maana haikuwa rahisi [emoji4][emoji847]

Nitakuwa mchoyo wa fadhila nisipowapongeza wazazi wangu kwajili ya siku hii maana bila wao kupendana, na kujaliana hisia za kila mmoja, walikula wakashiba wakaenjoy vya kutosha, wakafurahi hadi akapatikana mtoto mzurii, mrembo na mwenye kila sifa za kuwa msichana. I used to keep that happiness of you my parents ( I love you [emoji7][emoji8])..

Pia nitoe pongezi kwa ninyi wanaJf wote ambao hamjawahi kunifanya nijute kuwepo humu[emoji1][emoji1]...mmekuwa ni watu wakunifanya niwe na furaha muda wote, ningekua na uwezo ningefurahia na nyie wote kwenye hii siku yangu special. Nawapenda sana.

Natamani nijaze hata page kumi maana nina mengi ya kuzungumza, ila acha niishie hapa
HAPPY BIRTHDAY TO ME [emoji322][emoji3060][emoji3060][emoji1][emoji512][emoji324] View attachment 2699335
Happy birthday unazd kuzeeka
 
Back
Top Bottom