Happy birthday to me ๐ŸŽ‚๐ŸŽ‰

Happy birthday to me ๐ŸŽ‚๐ŸŽ‰

Hello everyone ๐Ÿ˜Šโ˜บ

Kwanza kabisa namshukuru Mungu kwa kuendelea kuniweka hadi leo ambapo nimeongeza mwaka mwingine tena, yote ni kwaajili ya nguvu na huruma zake, maana haikuwa rahisi ๐Ÿ˜Š๐Ÿค—

Nitakuwa mchoyo wa fadhila nisipowapongeza wazazi wangu kwajili ya siku hii maana bila wao kupendana, na kujaliana hisia za kila mmoja, walikula wakashiba wakaenjoy vya kutosha, wakafurahi hadi akapatikana mtoto mzurii, mrembo na mwenye kila sifa za kuwa msichana. I used to keep that happiness of you my parents ( I love you ๐Ÿ˜๐Ÿ˜˜)..

Pia nitoe pongezi kwa ninyi wanaJf wote ambao hamjawahi kunifanya nijute kuwepo humu๐Ÿ˜„๐Ÿ˜„...mmekuwa ni watu wakunifanya niwe na furaha muda wote, ningekua na uwezo ningefurahia na nyie wote kwenye hii siku yangu special. Nawapenda sana.

Natamani nijaze hata page kumi maana nina mengi ya kuzungumza, ila acha niishie hapa
HAPPY BIRTHDAY TO ME ๐ŸŽ‰๐Ÿฅณ๐Ÿฅณ๐Ÿ˜„๐ŸŽ‚๐ŸŽˆ View attachment 2699335
Japo Mjomba nae ni Mama, ila sijaona shukrani zilizoelekezwa kwa mjomba ๐Ÿ˜ฅ๐Ÿ˜ฅ๐Ÿ˜ฅ

Happy belated birthday mpwa, ishi sana huku ukimpendeza Mungu.
 
uncle ulikua wapi jamani๐Ÿค”๐Ÿค”...nimekumis๐Ÿฅน๐Ÿฅน
 
Majanga tu ya hapa na pale, na wewe hata kunijulia hali ukashindwa ๐Ÿ˜ฅ๐Ÿ˜ฅ.

But niko well n good mpwa, mekumiss pia.
 
Nimekutafuta sana jamani๐Ÿ˜ฅ,, karibu mwezi mzima huonekani hadi nlikua wasiwasi๐Ÿ™‡โ€โ™€๏ธ.....ila kama uko salama vizuri inapendeza
 
Niko live sasa. Mungu ni mwema, uzima na afya vipo. ๐Ÿ˜Š๐Ÿ˜Š
 
Better late than never

Happy birthday to you mrembo
Baraka za Bwana ziwe juu yako mummy
 
Hello everyone ๐Ÿ˜Šโ˜บ

Kwanza kabisa namshukuru Mungu kwa kuendelea kuniweka hadi leo ambapo nimeongeza mwaka mwingine tena, yote ni kwaajili ya nguvu na huruma zake, maana haikuwa rahisi ๐Ÿ˜Š๐Ÿค—

Nitakuwa mchoyo wa fadhila nisipowapongeza wazazi wangu kwajili ya siku hii maana bila wao kupendana, na kujaliana hisia za kila mmoja, walikula wakashiba wakaenjoy vya kutosha, wakafurahi hadi akapatikana mtoto mzurii, mrembo na mwenye kila sifa za kuwa msichana. I used to keep that happiness of you my parents ( I love you ๐Ÿ˜๐Ÿ˜˜)..

Pia nitoe pongezi kwa ninyi wanaJf wote ambao hamjawahi kunifanya nijute kuwepo humu๐Ÿ˜„๐Ÿ˜„...mmekuwa ni watu wakunifanya niwe na furaha muda wote, ningekua na uwezo ningefurahia na nyie wote kwenye hii siku yangu special. Nawapenda sana.

Natamani nijaze hata page kumi maana nina mengi ya kuzungumza, ila acha niishie hapa
HAPPY BIRTHDAY TO ME ๐ŸŽ‰๐Ÿฅณ๐Ÿฅณ๐Ÿ˜„๐ŸŽ‚๐ŸŽˆ View attachment 2699335
Although nimechelewa kukuwish ila haijalishi.

Happy birthday my Queen.
 
Hello everyone [emoji4][emoji5]

Kwanza kabisa namshukuru Mungu kwa kuendelea kuniweka hadi leo ambapo nimeongeza mwaka mwingine tena, yote ni kwaajili ya nguvu na huruma zake, maana haikuwa rahisi [emoji4][emoji847]

Nitakuwa mchoyo wa fadhila nisipowapongeza wazazi wangu kwajili ya siku hii maana bila wao kupendana, na kujaliana hisia za kila mmoja, walikula wakashiba wakaenjoy vya kutosha, wakafurahi hadi akapatikana mtoto mzurii, mrembo na mwenye kila sifa za kuwa msichana. I used to keep that happiness of you my parents ( I love you [emoji7][emoji8])..

Pia nitoe pongezi kwa ninyi wanaJf wote ambao hamjawahi kunifanya nijute kuwepo humu[emoji1][emoji1]...mmekuwa ni watu wakunifanya niwe na furaha muda wote, ningekua na uwezo ningefurahia na nyie wote kwenye hii siku yangu special. Nawapenda sana.

Natamani nijaze hata page kumi maana nina mengi ya kuzungumza, ila acha niishie hapa
HAPPY BIRTHDAY TO ME [emoji322][emoji3060][emoji3060][emoji1][emoji512][emoji324] View attachment 2699335
Happy birthday
 
Back
Top Bottom