Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🙏🙏🙏 Shukran! Kwanini uli-anticipate pakubwa hvo😁OK.sio kwa ubaya lakini nilikuwa nakuchuliaga kama vile uko zaidi ya 40 kumbe ni mdogo wangu tho nimekuzidi kdg safi endelea na hekima yako rafiki yangu
Ee Mungu wangu, kumbe humu naishi na watoto wadogo sana!Miaka 25 si Haba.
Thank God 🙏
Master tena😃😃... anyways stay blessed🙏🙏thank you master
Anapelea......nikimuona mwanaume anajiwish birthday na mdharau directlyDume zima linajiwish birthdate[emoji706][emoji706][emoji706]
Bdei waachie wanawake na wototodharau zangu nifungie niekee hapa. nitazichukua