Happy birthday to meeee!!

Happy birthday to meeee!!

Hello,

Leo birthday yangu wajameni, karibuni kwangu.

Namshukuru Mungu kuruhusu nije duniani, lakini pia kunifikisha usiku ya Leo.

Asante mama luckyline, kunileta duniani siku kama ya Leo nakupenda sana.

Nawashukuru na ma doctors walomsaidia mama kunileta duniani, Dr mmoja alinipa jina la LUCKY. Kwamba wakati nazaliwa nilitanguliza miguu, yaani eti it was very complicated, Mara mguu mmoja utangulie Mara mguu mwingine ubaki Nyuma, masikini mama yangu utakuwa aliteseka sana, basi eti ma Dr wengi walikuwepo siku hiyo wanaangaika sana, mwisho nikazaliwa, kila Doctor aliyepita mama alisikia akisema she is luck, she is lucky, basi Dr mmoja akamwambia mama mtoto muite lucky ikawa hivyo.

Karibuni sana njooni na keki, nimepika li Samaki (sato) likubwaaaa.

Napenda mziki niwekeeni hapa nyimbo nzuriii nicheze.

Karibuni.
Happy birthday rafiki...
At least nimepata historia ya miguu yako hahaaaaaaa
 
🙆🙆🙆🙆
Sikubali japo mimechelewa najua samaki wangu yupo.
Happy belated birthday mama, ubarikiwe na Mungu akujaalie kila lililo jema.
 
Better late than never...

Happy birthday to you mummy...

Mungu akujalie kutimiza ndoto zako mama
 
Tuna share bday [emoji91][emoji91][emoji91][emoji39][emoji39][emoji39]
Tuliozaliwa mwezi wa 5 tuna akili sana
 
Hello,

Leo birthday yangu wajameni, karibuni kwangu.

Namshukuru Mungu kuruhusu nije duniani, lakini pia kunifikisha usiku ya Leo.

Asante mama luckyline, kunileta duniani siku kama ya Leo nakupenda sana.

Nawashukuru na ma doctors walomsaidia mama kunileta duniani, Dr mmoja alinipa jina la LUCKY. Kwamba wakati nazaliwa nilitanguliza miguu, yaani eti it was very complicated, Mara mguu mmoja utangulie Mara mguu mwingine ubaki Nyuma, masikini mama yangu utakuwa aliteseka sana, basi eti ma Dr wengi walikuwepo siku hiyo wanaangaika sana, mwisho nikazaliwa, kila Doctor aliyepita mama alisikia akisema she is luck, she is lucky, basi Dr mmoja akamwambia mama mtoto muite lucky ikawa hivyo.

Karibuni sana njooni na keki, nimepika li Samaki (sato) likubwaaaa.

Napenda mziki niwekeeni hapa nyimbo nzuriii nicheze.

Karibuni.
Unapenda kudeka wewe
 
Back
Top Bottom