Honey Faith
JF-Expert Member
- Aug 21, 2013
- 15,782
- 11,819
Ungeniambia mi ni mkarimu ingekuwa ajabu....sijawahi kuona mtu anasema mke wa kaka yake ni mkarimu ungekuwa wa kwanza wewe
Na wewe kwa nini hukuja shereheni??
Unataka nikutengenezee ya kwako??
Unavyopenda kudeka. Subiri utakula mwakani kwenye birthday ya kaka yako
Sifanyi hiyo biashara labda mwambie kaka yako akununulie
Daah Khantwe miaka inaenda kweli jamani. Happy birthday sis angu mwenyewe from day one,, mchana mbao of all the times. Dear Uishi maisha marefu Yenye ukamilifu na utoshelevu na uendelee kuishi ile misimamo yako always. have a blast dear, Thanks