Happy Birthday To mimi Khantwe

Happy Birthday To mimi Khantwe

Siku hazigandi. Ni mwaka mwingine tena Mungu amenijaalia kuadhimisha siku yangu ya kuzaliwa. Ninamshukuru sana yeye aliye juu maana pasipo yeye si kitu mimi.
Happy birthday to me
Happy birthday to my super brother MO11 aka mume halali wa Madame B na espy . Mungu akupe maisha marefu wewe na wakezo
Happy birthday to my pacha RRONDO . I hope mwaka huu utatulisha ubwabwa
 
Back
Top Bottom