Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watu wengine mshukuru hapa hatupo mitaani kubabake wewe. Haya tu.Avatar inaonuesha unawaza ndoa..nani atakuoa ww kochwa watermelon asbh unawaza birthday..?? Badilika binti..usiwe kama ka nzi
Huyo alotoa list labda kuna Daby wake anamjua.... sasa utajiri JF wanangalia wingi wa thread au likesAcha roho mbaya baby wewe si upo kwenye list ya matajiri wa hum Jf? Sasa ka zawadi ka laki nane tu kakushinde?
Mbwa ukimjua jina hakusumbui, si unaona jinsi mke mwenza anavyokwenda nae. Wa hivyo huwa hawakosekani ktk jamii. Alafu ukute ni wa kiume[emoji134] [emoji134] [emoji134]Watu wengine mshukuru hapa hatupo mitaani kubabake wewe. Haya tu.
Unakera arifuu fuata yako jombaa heshimu watu wasiokubughudhi.
[emoji106] [emoji106]Mbwa ukimjua jina hakusumbui, si unaona jinsi mke mwenza anavyokwenda nae. Wa hivyo huwa hawakosekani ktk jamii. Alafu ukute ni wa kiume[emoji134] [emoji134] [emoji134]
Achana nae huyo huenda kuna birthday ilishawahi kumfanya kitu mbaya
Dogo utapakatwa kwa icho kihelehele chako..kichwa puto kabisa, kwaio ww ndio shoga akeWatu wengine mshukuru hapa hatupo mitaani kubabake wewe. Haya tu.
Unakera arifuu fuata yako jombaa heshimu watu wasiokubughudhi.
Dogo utapakatwa kwa icho kihelehele chako..kichwa puto kabisa, kwaio ww ndio shoga ake
Delicious ww..unataka mume au?
Si ndio maana nakupenda mwenza, hayo ndio maneno sasa.Hayo ndo maneno sasa maana tayari nilishamuandaa huyo mke baada ya kuona unapwaya
Labda kwenye mabilionea wa kike utakwepo.[emoji23] [emoji23] acha kukwepa kwa nini nisiwekwe mimi uwekwe wewe
Ha ha ha nilikuwa nasubiri tu usahau nilianzishe! Hii birthday imechelewa sana,ingeangukia juzi ningewalisha ubwabwa mchafu!Siku hazigandi. Ni mwaka mwingine tena Mungu amenijaalia kuadhimisha siku yangu ya kuzaliwa. Ninamshukuru sana yeye aliye juu maana pasipo yeye si kitu mimi.
Happy birthday to me
Happy birthday to my super brother MO11 aka mume halali wa Madame B na espy . Mungu akupe maisha marefu wewe na wakezo
Happy birthday to my pacha RRONDO . I hope mwaka huu utatulisha ubwabwa