Nimeshamuagizia lorry la mbao, ili asihangaike tena kwenda kuchana mbao yeye mwenyewe. Hope amefurahia sana zawadi yangu kuliko zote.
Usiongee kwa sauti bas
Heaven Sent amesema atanizawadia mbao. Ntakupa 1/6 tano 2/3 mbili maana nasikia we na mumeo hamjapaua nyumba yenu mpaka leoukitaka hivyo tugawane zawadi
Heaven Sent amesema atanizawadia mbao. Ntakupa 1/6 tano 2/3 mbili maana nasikia we na mumeo hamjapaua nyumba yenu mpaka leo
happy birthday shoga mungu akuzidishie mauhai uishi miaka mingi....teh teh kama hujaolewa kama mimi naunganisha maombi yote two in one kwa muumba...ukioga badae uje uchukue hela ya juisi cola..
Umevurugwa wewe...
Jasiri haachi asili....hata ungenipa malori mia....kuchana mbao is my passion
Teh teh teh unaanza eeeeeh?
Thank u....mwakani na mimi unilipie ada kwa Ras simba ulimi uteleze kama hivi
Shemeji nizime taa? Aaaaaa hapana! Teh teh teh! Nilikuwa bungeni shem ndiyo maana nimechelewa kukujibu! Nilitaka nisikie pumba za mafisadi! Happy birthday to my beautiful shemeji Khantwe, mwaaaaaaaaa! Tafadhari Ntuzu usione wivu!
Amen mke mwenza...ubarikiwe
Ntuzu mimi na Asprin ndoa yetu ilishakufa kitambo nikutambulishe kifaa kpya tu sr bachelor ntakuja nae kama hatofika atawakilishwa na 1st AIDAsprin aje na mkewe mamaafacebook usije peke Yake maana Itakua vita...!
Zekidon ukuje na zawadi za ushawishi Unaweza ukadondokewa...!