Happy Birthday To mimi Khantwe

Happy Birthday To mimi Khantwe

Happy birthday akanana Khantwe
 
Last edited by a moderator:
Wiki nzima?? Bas tutalala siku mbili siku ya tatu nitazuga najisikia kichefuchefu tunarudi nyumbani.....akiondoka kwenda kutangaza injili narudi kulekule hotelini....umenipata shemd nikupendaye?

ndo maana nakupenda una mbinu zote za kunogesha penzi
 
Hapana. Ukishaanza tu kupata yale mambo yetu we ni mkubwa. Btw hivi ni kweli ulishawahi kuniona kule mkuu??

Siendagi kule toka niokoke, ila kwa maelezo yako haya ni dhahiri kuwa unaendaga kule...
 
Back
Top Bottom