Happy Birthday To mimi Khantwe

Happy Birthday To mimi Khantwe

Happy birthday Khantwe Mungu akuzawadie miaka mingi zaidi.
 
Last edited by a moderator:
Waoh Nilikuwa laundry nasubilia suit...yaani nimefurahi mpaka nikarusha miguu juu, [MENTION][MENTION]kantwe[/MENTION] mi pls usimalize keki naja foleni nayo balaa sasa Mamaa nawe kwa kunifanya spare tyre jamani ya mi niwe mwakilishi kabisa wee sikubali.... shy land nae kaalikwa?[/MENTION]
Ntuzu mimi na Asprin ndoa yetu ilishakufa kitambo nikutambulishe kifaa kpya tu sr bachelor ntakuja nae kama hatofika atawakilishwa na 1st AID

happy birthday mamii Khantwe
 
Last edited by a moderator:
Waoh Nilikuwa laundry nasubilia suit...yaani nimefurahi mpaka nikarusha miguu juu, [MENTION][MENTION]kantwe[/MENTION] mi pls usimalize keki naja foleni nayo balaa sasa Mamaa nawe kwa kunifanya spare tyre jamani ya mi niwe mwakilishi kabisa wee sikubali.... shy land nae kaalikwa?[/MENTION]

Na kama bahat imekuangukia maana mr hatokuja ana.udhuru kidogo so tutaenda wote uje unipitie bas nakusubiria
 
birthday-cake-for-her-2.jpg ubarikiwe mtumishi nakutakia siha njema na maisha marefu
 
Naja we Bahati haiji mara mbili huu mwendo wangu leo ka space shuttle nimevaa suit ya pink na viatu vya blue
Na kama bahat imekuangukia maana mr hatokuja ana.udhuru kidogo so tutaenda wote uje unipitie bas nakusubiria
 
Waoh Nilikuwa laundry nasubilia suit...yaani nimefurahi mpaka nikarusha miguu juu, [MENTION][MENTION]kantwe[/MENTION] mi pls usimalize keki naja foleni nayo balaa sasa Mamaa nawe kwa kunifanya spare tyre jamani ya mi niwe mwakilishi kabisa wee sikubali.... shy land nae kaalikwa?[/MENTION]

Hahahaa Shy land mdau kabisa aisee hawezi kukosa kualikwa
 
Last edited by a moderator:
Happy birthday shostiee......wishing u happy and long life Muke ya Ntuzu.....
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom