Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
umemuonaeeeee
Wiki nzima?? Bas tutalala siku mbili siku ya tatu nitazuga najisikia kichefuchefu tunarudi nyumbani.....akiondoka kwenda kutangaza injili narudi kulekule hotelini....umenipata shemd nikupendaye?
Roho inauma...huu mchepuko wangu wa kudumu ujue...
Wivu sina ila roho inaumaa...
Wacha umbea
Ntunzu nimekuja kaka.... I wish u Happy birthday with a longer life Khantwe. . kiwatengu Bulldog Excel MankaM mmepta huku bandugu??Let me call wale dada zangu vipenzi wapiga kelele...
miss neddy Honey Faith Heaven Sent come this way pls ila msije bila zawadi ntawatoa nduki
mwallu dada yangu kipenzi ukuje hapa utole lupundu...!
Heaven on Earth ukuje hapa na mumeo
Kasinde miss chagga kan'tangaze mukuje hapa ata bila viatu...!
Ongea bas taratibu
Bado mbona una haraka??
Nitahakikisha nawawekea wewe na mumeo
Hi Marafiki,
Najua mpo bize na Escrow ila naomba muungane na mimi japo dakika chache kuadhimisha siku yangu ya kuzaliwa.
Namshukuru Mungu aliyenipa uhai hadi kufikia tarehe ya leo ambapo nnatimiza miaka........
Nawashukuru pia marafiki zangu mnaonipa kampani,hakika ninyi ni sababu ya mimi kutabasamu.... Mungu awabariki sana sana.
Napokea zawadi, m pesa tigo pesa zipitie kwa my hubby Ntuzu.
HAPPY BIRTHDAY TO MIMI..!!
cc wote wanaonipenda na kuniombea mema.
NB:
Pia nimtakie siku njema ya kuzaliwa kaka yangu wa ukweli kabisa MO11