Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hi marafiki,
najua mpo bize na escrow ila naomba muungane na mimi japo dakika chache kuadhimisha siku yangu ya kuzaliwa.
Namshukuru mungu aliyenipa uhai hadi kufikia tarehe ya leo ambapo nnatimiza miaka........
Nawashukuru pia marafiki zangu mnaonipa kampani,hakika ninyi ni sababu ya mimi kutabasamu.... Mungu awabariki sana sana.
Napokea zawadi, m pesa tigo pesa zipitie kwa my hubby ntuzu.
Happy birthday to mimi..!!
Cc wote wanaonipenda na kuniombea mema.
Nb:
Pia nimtakie siku njema ya kuzaliwa kaka yangu wa ukweli kabisa mo11
ndomana nakupenda my dadii nimeifurahia sentence yako ya mwisho...
Asprin aje na mkewe mamaafacebook asije peke Yake maana Itakua vita...!
Zekidon ukuje na zawadi za ushawishi Unaweza ukadondokewa...!
Waaaoow kwa hiyo ruksa kumdondokea eeh?