Happy Birthday To mimi Khantwe

Happy Birthday To mimi Khantwe

Asprin aje na mkewe mamaafacebook usije peke Yake maana Itakua vita...!

Zekidon ukuje na zawadi za ushawishi Unaweza ukadondokewa...!

mkuu sorry for a late reply but the lady is mine ever since, we had a wonderful birthday dinner together and she confessed to me how sweet i am for her. keep on dreaming. the lady is mine.
 
mkuu sorry for a late reply but the lady is mine ever since, we had a wonderful birthday dinner together and she confessed to me how sweet i am for her. keep on dreaming. the lady is mine.

Tatizo lako baby huwa unagongelea misumari ya moto sana mwenzio nang'ata na kupuliza
 
mkuu sorry for a late reply but the lady is mine ever since, we had a wonderful birthday dinner together and she confessed to me how sweet i am for her. keep on dreaming. the lady is mine.

Teh teh teh teh teh
 
Happy birthday bidada Khantwe.
Upewe maisha marefu mpaka uje kuwaona watoto wa nje wa hubby wako Ntuzu....maana nillisoma post fulani MMU kuwa hakuna mwanandoa wa kiume asie na mtoto wa nje....😛eep: 😛eep: 😛eep:

Mme wangu MO11 anakusalimu
 
Last edited by a moderator:

wewe mwanamke umenikimbia mwezi mzima sijakuona hata kunibip
 
Last edited by a moderator:
Happy birthday bidada Khantwe.
Upewe maisha marefu mpaka uje kuwaona watoto wa nje wa hubby wako Ntuzu....maana nillisoma post fulani MMU kuwa hakuna mwanandoa wa kiume asie na mtoto wa nje....😛eep: 😛eep: 😛eep:

Mme wangu MO11 anakusalimu

Hahahaaa my hubby mchungaji bhana hana hata mtoto wa nje..
Af kumbe we ni wifi yangu eeh? Kaka MO11 mbona hujanitambulisha?
 
Last edited by a moderator:
Hi Marafiki,
Najua mpo bize na Escrow ila naomba muungane na mimi japo dakika chache kuadhimisha siku yangu ya kuzaliwa.
Namshukuru Mungu aliyenipa uhai hadi kufikia tarehe ya leo ambapo nnatimiza miaka........
Nawashukuru pia marafiki zangu mnaonipa kampani,hakika ninyi ni sababu ya mimi kutabasamu.... Mungu awabariki sana sana.
Napokea zawadi, m pesa tigo pesa zipitie kwa my hubby Ntuzu.
HAPPY BIRTHDAY TO MIMI..!!
cc wote wanaonipenda na kuniombea mema.
NB:
Pia nimtakie siku njema ya kuzaliwa kaka yangu wa ukweli kabisa MO11

nimekuwa mvivu wa kuingia jf hadi nathubutu kukutakia mama mkwe wangu happy late birthday..
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom