hbd mkuuThank you tajiri wangu
Yanazungumzika Mkuu napanga hoja usiku huu. Kesho au weekend nashusha uzi mtamu kama icing sugar π€£π€£π€£Aisee
Hii naiona kwangu pia na chanzo ni udunduka.View attachment 3119286
Hivi hili likitu kila mtu analiona au ni mimi tu
π€π€Mkongwe
Kwahiyo uko wapi......Nimeumia sana mpaka nimetaka ku palalaizi
π€£π€£π€£Kwahiyo uko wapi......
Wizo maana yake nini, nimeona mchuchu wangu ukimuita shost yake hivyoHappy birthday wizo πΉ
Wizo ni wifiWizo maana yake nini, nimeona mchuchu wangu ukimuita shost yake hivyo
Ntakupigia simu kwanza tuongee.....π€£π€£π€£
Utanifuata?
Thank you mkuuhongereni wadau,
muwe mnatupa updates na harusi, kupata watoto, kuzeeka nk
you're up to something beautiful here
Ahsante sana mkuuCPA wa JF Nitakupa dili ππ€