Happy Birthday to the Queen of Awesomeness

Accountant anakata keki wapi sie tulioishia fomu fooo tuje kushangaa hiyo cpa inafananaje
Mbona hukuja mkuu ,tungenyunyizia ile kachumbari tukiwa juuu😃😃, kujipongeza kidogo😋
 
Attachments

  • 20241008_203929.jpg
    20241008_203929.jpg
    341 KB · Views: 4
Mbona hukuja mkuu ,tungenyunyizia ile kachumbari tukiwa juuu😃😃, kujipongeza kidogo😋
Wee hiyo balaa chai hapo buku 8 kuku choma na juice sii wataniambia buku 50...naweza wapi mie hiyo bei.
Hongera once again...achievements must be celebrated.
Hiyo ya kachumbari subiria on our big day, dar lazima isimame😜
 
No bei ni kidogo tu, once in a while🙄. Can't wait for our big day, kachumbari tukiwa juuu, hii siku ulivyoandika hivi nilicheka sana aisee uliwaza nini kunyunyizia kachumbari 😀😀
 
Kweli once in a while sio mbaya.
Ah sii wajua mie napenda boli so nikawaza hivi nikitaka reception ya harusi yangu ifanyike kwa uwanja wa boli how will i make it special? Ndio wazo hilo la kwamba waalikwa wakae uwanjani mie na mrembo wangu tupo juu kwa helicopter tunawanyunyuzia waalikwa kachumbali wajilambe pilau letu🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom