Ndengaso
JF-Expert Member
- Jul 18, 2014
- 7,831
- 14,259
Tarehe kama ya leo mwaka 1968, ulimwengu ulishuhudia kuzaliwa kwa mwanasiasa na mwanasheria nguli Mheshimiwa mbunge Tundu Antiphas Lissu.
Nitumie nafasi hii kumtakia miaka 100 zaidi na kila la heri katika safari yake yakuwatetea wanyonge, Mungu akubariki katika kila hatua upitayo, maana kwa uwezo wako ndugu Tundu Lissu ungeweza kuanzisha hata law firm yako nakutengeneza mamilioni ya pesa lakini hayo umeyaona sio kitu na kuamua kulitumikia Taifa.
Happy birthday kwako mheshimiwa.