Happy birthday to Tundu Antiphas Lissu

Happy birthday to Tundu Antiphas Lissu

Happy birthday kamanda
Mungu mpe maisha marefu​
 
Heri ya siku yakuzaliwa mubalanda wa kweli "NENKHOKHO YUUKA NA MAKHAA"
 
Happy Birthday Mh. Tundu Lisu. Mungu awezeshe wazaliwe wengine kama wewe 1,000,000
 
Happy birthday genious, kamanda, patriotic, leader, Mungu akupe maisha marefu marefu
 
si ajabu atakuwa TRUMP wetu maana ndo naye ameapishwa
 
Tarehe kama ya leo mwaka 1968, ulimwengu ulishuhudia kuzaliwa kwa mwanasiasa na mwanasheria nguli Mheshimiwa mbunge Tundu Antiphas Lissu.

Nitumie nafasi hii kumtakia miaka 100 zaidi na kila la heri katika safari yake yakuwatetea wanyonge, Mungu akubariki katika kila hatua upitayo, maana kwa uwezo wako ndugu Tundu Lissu ungeweza kuanzisha hata law firm yako nakutengeneza mamilioni ya pesa lakini hayo umeyaona sio kitu na kuamua kulitumikia Taifa.

Happy birthday kwako mheshimiwa.
75903e7898f9a37bff74116328c4adcd.jpg

918c4a37268592a582411b0af4ecc52d.jpg


Huyo jamaa anaijua hata siku yake ya kuzaliwa, kweli?
 
Back
Top Bottom