Huyu ni jembe kuna watu wa Lumumba wakimwona huyu mnyaturu wanahanya bambsi!!! Mungu akupe miaka 100 ya kuishi na uje uwe jaji mkuu wa ukweli sio wa kukaimu ofisiMUNGU ni mwema atakupa afya tele uendelee kuikomboa nchi yetu katika dhuluma ya inayoendelea
LIBARIKIWE TUMBO LILILOKULETA DUNIANI.MUNGU ni mwema atakupa afya tele uendelee kuikomboa nchi yetu katika dhuluma ya inayoendelea
"kukaimu ofisi" Fafanua mkuuHuyu ni jembe kuna watu wa Lumumba wakimwona huyu mnyaturu wanahanya bambsi!!! Mungu akupe miaka 100 ya kuishi na uje uwe jaji mkuu wa ukweli sio wa kukaimu ofisi
Amen ubarikiweLIBARIKIWE TUMBO LILILOKULETA DUNIANI.
Mungu afungue mlango mkubwa katika maisha yakoIshi ishi mpaka ukombozi upatikane