Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kashaisima😂😂@antinnia uisime hii😂
Point yangu inapokataliwaKwani Ukorofi umeanza lini rafiki 😊😁!!
Mweh sidanganyikiiii!! Huyo Mtoto halali na hela kaamua kunichota tyuu sijui huu ukorofi ameuanza lini!!Antonnia uisome hii😂
Kwani umeanza lini kuwa ntoto mbaya lkn?Mweh sidanganyikiiii!! Huyo Mtoto halali na hela kaamua kunichota tyuu
Ngoja kwanza pachangamke utanielewaMweh sidanganyikiiii!! Huyo Mtoto halali na hela kaamua kunichota tyuu
Point ikikosewa inasahihishwa kwa kuweka ❎!Point yangu inapokataliwa
Since day one mi ni mbona wahovyo tu! Hizo taarifa zenyu Sijui hata mmezitoa wapi na ukorofi wenyu😊!Kwani umeanza lini kuwa ntoto mbaya lkn?
Hahaa sawa mrembo 🏃🏃Point ikikosewa inasahihishwa kwa kuweka ❎!
Umekosaaaa😊
Ewaaaaaa!! 😊😊😊!!Hahaa sawa mrembo 🏃🏃
Huku unakubali huku unakataa🤷Ewaaaaaa!! 😊😊😊!!
Hapana nakataa hio urembo na uzuri Mie sina hizo sifa!!Huku unakubali huku unakataa🤷
Yaani binti yangu mwenyewe nisimfahamu?Since day one mi ni mbona wahovyo tu! Hizo taarifa zenyu Sijui hata mmezitoa wapi na ukorofi wenyu😊!
Utakua unatuchanganya na watoto wengine raaabdaa😊😊! Au Unazeeka vibaya 😊😊😁😁🤣🤣!!Yaani binti yangu mwenyewe nisimfahamu?
Leo unanikana hadharan?Utakua unatuchanganya na watoto wengine raaabdaa😊😊! Au Unazeeka vibaya 😊😊😁😁🤣🤣!!
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Leo unanikana hadharan?
Unataka nije kukuna kwenye urithi?
Kataa tuHapana nakataa hio urembo na uzuri Mie sina hizo sifa!!