Nimeshamkabidhi ataleta totoo jmn eeHapana hajanipatia mkuu fanya wepesi unileteee jamaneee!
Tubeless na cakeAminaaaaaaaahh Asantreee sana mammyy😘!!
Bado zipoooo karibu ujikatiee mwenyewe!!Tubeless na cake
70 tu lol michache sanaa mbona walau 1500 niweke rekodii kabisa!Sasa aishi kama namba za vocha si atazeeka sana mpka iwe kero kwake.
Namuombea aishi miaka 70 tu ikizidi sana 71 then afe.
Vipi ndugu yangu😂😂🤔Mzungu mzee hujambo?😅
Zaidi ya hapo kwa maisha ya sasa utaijutia na kuomba kifo kikusombe.70 tu lol michache sanaa mbona walau 1500 niweke rekodii kabisa!
Ishendweeeeeee IJN!!Zaidi ya hapo kwa maisha ya sasa utaijutia na kuomba kifo kikusombe.
Sonona itakulaza kitandani kwa miaka 1430 itakayobaki .
Jamaa umerudi? Naona kupitia IamBrianLeeSnr umefutiwa adhabu😀😀Happy birthday Antonnia
Sijui una miaka mingap 😬😬😬
sante sana🥰Keki bado ipoooo Dr karibu ujiseviee kekiii