Whaaaaat!! Unahamia kwa nani sasa?
Si umewaona wenzako wanavyolia lia lakini?Nipeleke basi, ila mie kichwa ngumu itabidi unilipie training ya mwaka mzima.
Likibumbu linu haaaa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Umenichekesha!! Sentensi gani?
Hata mimi nilikuwa najitafuta,nimejikuta nipo huku kwenye basidei yako[emoji23] [emoji23] [emoji23] . Hongera kwa kuzaliwa leo shemeji yangu.Shemeji nilikuwa na mpango wa kutoa taarifa polisi kuwa nimepotelewa na shemeji.
Happy New to you too doll, umemissikaJamani aunt yake hivi hatujaonana toka mwaka jana?! Happy New Year mdada wa nguvu!!
Usijali mama,sina pengine pa kuzipelekaNaisubiri hiyo mihela shem.
Cake yako ipo mbona, ulienda wapi kutoa show leo?Awwww!, Sweety it's your born day!!!!!
Nilikuwa kwenye shughuli mwaya ndo narudi hivyo!, jamani nimechelewa I hope there's a piece of cake for moi!!!
Heaven Sent dear where's ma cake?!
MBITIYAZA na Evelyn Salt nasikia mmeandaa munuso...lol!
Halafu leo Friday, just perfect!!!
Hahahaaaaa!! Kumbe hauna habari? Wahenga ndio wana soko humu.Wengine tuko mawindoni humu.. Usinizeeshe plz
Khaaa leo unaniumbua wazi wazi hivi kweli sista, mbona unanisitiriga?!Acha utapeli basi jamani!!
Thanks ngabu. Nasubiri degree,kamotorola,vile vipipi(nimesahau jina) na tedy bear[emoji85] [emoji85]Happy day totoz.
Thanks dear.Happy Birthday Sweetie!
Have more and more to come, uwapite wote walokuwa wa kwanza kuishi zaidi!
Mwaah! [emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]
Dawa yako iko jikoni.[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
Ndo iyo sentensi unijia kichwaniLikibumbu linu haaaa
Wachaaaa weeee... kwahiyo uanze kuniita babuHahahaaaaa!! Kumbe hauna habari? Wahenga ndio wana soko humu.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85]Mwenzangu hata sijaanza kutafuta ndo najipanga hapa naupara halafu nikatembee kule love connect! [emoji1]
Mie hadi mwaka uishe ndio nitatrade. Alafu walisema kuunguza ndio kujifunza.Si umewaona wenzako wanavyolia lia lakini?
[emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85]Likibumbu linu haaaa
Hivi umekuja na ka cake? AuKakashemeji niko hapa mlangoni nabisha hodi hata mlango haufunguliwi.