Happy Birthday to You Espy

Happy Birthday to You Espy

Shemeji nilikuwa na mpango wa kutoa taarifa polisi kuwa nimepotelewa na shemeji.
Hata mimi nilikuwa najitafuta,nimejikuta nipo huku kwenye basidei yako[emoji23] [emoji23] [emoji23] . Hongera kwa kuzaliwa leo shemeji yangu.

Mungu akuangazie nuru ya busara,hekima na afya njema
 
Happy Birthday Sweetie!

Have more and more to come, uwapite wote walokuwa wa kwanza kuishi zaidi!
Mwaah! [emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]
Thanks dear.

Sasa nikiwapita wote si ndio inafikia ile hatua ya kuanikwa kama mahindi[emoji134] [emoji134]
 
Mwenzangu hata sijaanza kutafuta ndo najipanga hapa naupara halafu nikatembee kule love connect! [emoji1]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85]
Nenda kwa uncle.
 
Back
Top Bottom