Happy Birthday to You Espy

Happy Birthday to You Espy

Happy birthday my kivuruge,kichomi,mama mtoto,mwanmke mwenye team yake ya mpira..Yani una majina mengi kama menu ya kinyozi..Nashindwa hata kuyamaliza..

Tumetoka mbali aisee..Toka enzi hizo kigoli mpaka sasa unazeeka..Tunachuniana/zinguana sometimes lakini still tunarudi kwenye mstari..Nafurahia uwepo wako hapa Jf..Mungu azidi kukupigania my best friend&Mke..
[emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134]
Kweli baby hakuna jina tamu hata moja ninalostahili!! Hebu basi niite tu hata kama unanidanganya kwa leo tu!!
 
Heaven Sent unaitwa na baba yako.
 
[emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134]
Kweli baby hakuna jina tamu hata moja ninalostahili!! Hebu basi niite tu hata kama unanidanganya kwa leo tu!!
Uzi mzima wanakuita hayo majina..nimeona kuyarudia hayatakuwa na ladha.Btw nishakuita hayo majina sana
 
Back
Top Bottom