Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 70,916
- 141,437
Sema nini!!! Huu mwezi sio wa kuukatia keki tukate hata mkateShukrani mama.
Najua ubavu huna na ndicho kinachohitajika ili mdilute mama.Hahah!, subutu yangu!, kama nina ubavu huo basi! [emoji28]
Analipa na yako?Sawa Bonny atalipa alisema mapema, waweza kuendelea kumdai tuu
Mmmmmh!!! Hii danganya toto kabisaaaa!! Ngastuka.Tunatafuta namna ya kukuletea cake kubwa zaidi ya hizi tulizozikatakata.
Aaah!! Watani zangu kwa kipengele hicho mko vizuri[emoji85] [emoji85] [emoji85]Teh teh kule kwetu Uhayani mimi ni bonge la handsome.....
Siwezi kosa totoz za hata kulee
[emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134]Happy birthday my kivuruge,kichomi,mama mtoto,mwanmke mwenye team yake ya mpira..Yani una majina mengi kama menu ya kinyozi..Nashindwa hata kuyamaliza..
Tumetoka mbali aisee..Toka enzi hizo kigoli mpaka sasa unazeeka..Tunachuniana/zinguana sometimes lakini still tunarudi kwenye mstari..Nafurahia uwepo wako hapa Jf..Mungu azidi kukupigania my best friend&Mke..
Hahahaaaaaa!! Sawa mama, hata mkate sio mbaya, tafanyaje sasa!!!Sema nini!!! Huu mwezi sio wa kuukatia keki tukate hata mkate
[emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57]Mie mwenyewe cake hapa nilipo kwahyo mwache aje tu kudai
Nasubiri cake zangu.Ha ha ha we hufai kabisa aiseee
Mmmmh!! Mna lenu jambo sio bure!Kukutafutia keki kubwaaaa kama umri wako
Yeah analipia zote mbiliAnalipa na yako?
Heaven Sent unaitwa na baba yako.Happy birthday my kivuruge,kichomi,mama mtoto,mwanmke mwenye team yake ya mpira..Yani una majina mengi kama menu ya kinyozi..Nashindwa hata kuyamaliza..
Tumetoka mbali aisee..Toka enzi hizo kigoli mpaka sasa unazeeka..Tunachuniana/zinguana sometimes lakini still tunarudi kwenye mstari..Nafurahia uwepo wako hapa Jf..Mungu azidi kukupigania my best friend&Mke..
Niamini mimiMmmmmh!!! Hii danganya toto kabisaaaa!! Ngastuka.
Uzi mzima wanakuita hayo majina..nimeona kuyarudia hayatakuwa na ladha.Btw nishakuita hayo majina sana[emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134]
Kweli baby hakuna jina tamu hata moja ninalostahili!! Hebu basi niite tu hata kama unanidanganya kwa leo tu!!
Ndio kasema yeye mwenyewe keki, sijui keki ya mihogo!!!Yeah analipia zote mbili
Mmmh!! Ngoja niendelee kusubiri.Niamini mimi