Heaven Sent
JF-Expert Member
- Sep 27, 2013
- 32,682
- 98,253
Hehe sitaki mie.Kumbe ulikuwa haujausoma huo ujumbe!! Hiki kichwa sijui hii mimba niliibeba siu gani!! Kaboom alibahatisha tu sijui!! Au ndio yale maombi yangu yalijibiwa!!!
Wabheja mayoHallelujah to the Amen! [emoji122]
Kakitokea kama yule mtoto wake mwingine si balaa hilo!!! Hii ilikuwa kipindi ulimwengu haujamkengeusha.Hehe sitaki mie.
Itabidi muongeze katoto kengine
Haha haki atakuvunja miguuKakitokea kama yule mtoto wake mwingine si balaa hilo!!! Hii ilikuwa kipindi ulimwengu haujamkengeusha.
Hii neema namshukuru nayo Mungu hivyo hivyo. Hata Yesu alikuwa mmoja tu!!
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Akija mwambie niko Dafur
Asante, uwe heri mwaka wako pia. Nipo nipooooo.Thanks dear.
Yaani umepotea hatari, happy new year.
Hahahaaaa!! Siku hizi kazeeka kabakia mdomo tu. Ana maneno huyo!!Haha haki atakuvunja miguu
Umejichinbia sana mama, nimefurahi kukuona tena.Asante, uwe heri mwaka wako pia. Nipo nipooooo.
Kumbe ulikuwa haujausoma huo ujumbe!! Hiki kichwa sijui hii mimba niliibeba siku gani!! Kaboom alibahatisha tu sijui!! Au ndio yale maombi yangu yalijibiwa!!!
Nimefurahi kuwaona pia, namuona HS kwa mbaaaliii.Umejichinbia sana mama, nimefurahi kukuona tena.
We ukiona kile kichwa cha baba mtu unaona hata ushabihiano kidogo!!!Acha bhana hiki kichwa si mchezo, kinakufanya usipite kimya. Kujivunia haswa.
Hahah!, eti alibahatisha! [emoji3]
Heaven Sent yupo anadonoa tu.Nimefurahi kuwaona pia, namuona HS kwa mbaaaliii.
Ze big cake is kaming on the way from north korea
And authorized by American leaders [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
We ukiona kile kichwa cha baba mtu unaona hata ushabihiano kidogo!!!
Hahahaaa!! Unaogopa ushahidi?Waacha!, [emoji1]
Hahahaaa!! Unaogopa ushahidi?
Haha team pampulas hatulalagi mapemaHeaven Sent yupo anadonoa tu.