Happy Birthday to You Espy

Happy Birthday to You Espy

Hehe sitaki mie.
Itabidi muongeze katoto kengine
Kakitokea kama yule mtoto wake mwingine si balaa hilo!!! Hii ilikuwa kipindi ulimwengu haujamkengeusha.
Hii neema namshukuru nayo Mungu hivyo hivyo. Hata Yesu alikuwa mmoja tu!!
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Akija mwambie niko Dafur
 
Haha haki atakuvunja miguu
 
Back
Top Bottom