Ndio, sitaki.Umesusa?
Kuleni wenyeweSawa hakuna shids maana tulitaka tuianyie pale pale airport kurahisha
Huwezi kukiona.sijawahi kuliona kwa kwel....,
kwa hakika.., labda pakitokea ile njia ya haraka sijui mnaiitaje.., maana pale ndo watu huanza kuona kasoro za wenzaoHuwezi kukiona.
Hahaaaaa!! Ishindwe IJN!!kwa hakika.., labda pakitokea ile njia ya haraka sijui mnaiitaje.., maana pale ndo watu huanza kuona kasoro za wenzao
Chezea wasukuma wewe[emoji85] [emoji85] [emoji85]
Umemfanya nini mdogo wangu?Tehe!, Tehe!, Teh! [emoji3]
Umemfanya nini mdogo wangu?
Unafikiri kuna kabila lingine linaweza fanya hilo tukio, ukiacha nyie na wanyakyusa akina Heaven Sent!!!Hahaha!, ushafikiria ni sisi tulibeba kwenye ndege ule ugali wetu famous! [emoji3]
Hapana, lazima kuna namna.Sijamfanya chochote dear, wasi wake tu!..
Haha umemiss mabanzi ya wanyaki au?Unafikiri kuna kabila lingine linaweza fanya hilo tukio, ukiacha nyie na wanyakyusa akina Heaven Sent!!!
Akina HS nimewatoa maana wao na exposure ni mbingu na nchi.
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Haha umemiss mabanzi ya wanyaki au?
Unafikiri kuna kabila lingine linaweza fanya hilo tukio, ukiacha nyie na wanyakyusa akina Heaven Sent!!!
Akina HS nimewatoa maana wao na exposure ni mbingu na nchi.
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Wee banzi moja unasahau wapi ulikuwa unaelekea, ndo utaweza kukimbia?[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Nilivyo na mbio utanikamatia wapi!!
Haha umemiss mabanzi ya wanyaki au?
Wee banzi moja unasahau wapi ulikuwa unaelekea, ndo utaweza kukimbia?
Teh pata picha lile kono la kinyaki likushukieHahaha!, mbona namgawa! [emoji2]
Si mpaka unikamate. Kwanza wewe si nakukwida na mkono wa kushoto!!Wee banzi moja unasahau wapi ulikuwa unaelekea, ndo utaweza kukimbia?
Kwani uongo mama!! Sipatii picha nao wakijengewa kadaraja kama kale kakwenu. Haki tutawaokota wameanguka chini.Hahaha!, mbona namgawa! [emoji2]
KwendraaaaSi mpaka unikamate. Kwanza wewe si nakukwida na mkono wa kushoto!!
Kwani uongo mama!! Sipatii picha nao wakijengewa kadaraja kama kale kakwenu. Haki tutawaokota wameanguka chini.