Happy Birthday to You Espy

Happy Birthday to You Espy

Haha!, Ney jamani usinikumbushe kisa kimoja cha watu fulani wa kwetu kukataliwa airport kuingia na vitu vya kula kwenye nchi za wenyewe, kuliko kutupa vyote eti wakaamua kukaa chini na kuanza kula walivyoweza na kutupa vilivyobaki.
Chezea wasukuma wewe[emoji85] [emoji85] [emoji85]
 
Hawa jamaa hawaeleweki kama vipi tuwaachie tuu hii cake alafu tumtafutie bidada cake nyingine au wewe unaonaje?
Embu tushauriane kidogo maana hili jambo ni very sensitive lazma tuwe na maamuz magumu kidogo.
Inaonekana bday girl kaamua kususa bas hii cake isiyooza inabd tuigawe tu hapa hapa airport
 
Back
Top Bottom